Thursday, May 20, 2010

ZIARA YA WAJUMBE YA BODI YA CHUO CHA UONGOZI WA MAHAKAMA (IJA) - LUSHOTO KUJIONEA MIRADI YA MAENDELEO YA CHUO HICHO
Wajumbe wa Bodi wakipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi
wa Jengo la bweni la wanachuo wa kike, Bw. Mmasa.

Wajumbe wa Bodi ya IJA wakiwa ktk jengo la ghorofa 3
ambalo ni hosteli ya wanachuo wa kike

Jengo la vyoo vya nje 12 vitakavyosaidia
vyoo vya Jengo kuu la hosteli


Sehemu ya katikati ya jengo la hostel ya wanachuo wa kike
ambayo ujenzi wake unaendelea


Jengo la kufulia nguo (Laundry) likiwa ni sehemu ya hosteli

************************************


UNAMJUA ASHA NGEDERE WA ULAYA!!?

Huyu hapa...haya sasa, si umem-check fresh!!
Nini Joti, check mtindi huu..,
*****************************

RED TIDES
Red Tides are aslo known as Algal Blooms, caused by sudden influxes of massive amounts of coloured single-cell Algae that can convert entire areas of an ocean or beach into a blood red colour.
While some of these can be relatively harmless, others can be harbingers of deadly toxins that cause the death of fish, birds, and marine mammals. In some cases, even humans have been harmed by Red tides though no human exposure are known to have been fatal. While they can be fatal, the consistituent phytoplankton in Red tides are not harmful in small numbers.

***********************************

BLUE HOLES

Blue Holes are giant and sudden drops in underwater elevation that get their name from the dark and foreboding blue tone they exhibit when viewed from above in relationship to sorrounding waters.
They can be hundreds of feet deep and while divers are able to explore some of them they are largely devoid of oxygen that would support sea life due to poor water circulation leaving them eerily empty.
Some Blue Holes, however, contain ancient fossil remains that have been discovered, preserved in their depths.
****************************

SAILING STONES
The mysteries moving stones of the packed-mud desert of Death valley have been a centre of scientific controversy for decades.
Rock

Monday, May 17, 2010

UPAPARAZI SI KAZI YA LELEMAMA!

Upaparazi shurti kwa vipimo...lengo!...upate picha yenye kiwango!!

Wadau, hii sio sarakasi...Paparazi wapo kazini!..
***

SPOTI
Tenis
Rafael Nadal am'bwaga mpinzani wake Roger Federer ktk mchezo wa fainali wa Madrid Open. Nadal alishinda kwa seti: 6 - 4; 7 - 6; 7 - 5 na kuwa Bingwa wa michuano hiyo kwa mwaka 2010. Huu ni ushindi wa 168 kati ya michezo 174 aliyocheza tokea mwaka 2005. Kwa ushindi huu Nadal ameendelea kushika namba 2 kwa ubora, nyuma ya Federer.
Rafael Nadal akishangilia ushindi wake

dhidi ya Roger Federer ktk fainali ya Madrid Open

***

SEKESEKE LA MOSHI WA VOLCANO HUKO ULAYA
Hali ya sintofahamu inaendelea kuzitesa nchi nyingi za bara Uropa kutokana na kuendelea kuwepo kwa moshi mkubwa unaosababishwa na mlipuko wa volkano ya mlima.... Hali hii imetatiza safari za ndege barani humo na kuacha mamia ya ndege kukatisha ratiba za usafiri kwa sababu za kiusalama. Mdau, hali ni tete, hebu jionee mwenyewe picha chache za moshi huo hapa chini:

***